mama mdogo wa bwana harusi Rose Sanga akiongea na wapambe wa maharusi |
JUKWAA LA KIKRISTO NA KIJAMII AMBALO LINATOA FURSA KWA JAMII KUJADILI NA KUELIMISHANA JUU YA MAADILI NA MAISHA KWA UJUMLA
Jumamosi, 1 Juni 2013
send of party ya Junice Swai Picolo Beach
Kaka Steven dada Rose na mama Philip Mwakasege wakiwa katika ukumbi wa Picolo Beach katika sherehe ya Send of Party |
Flora Mwakasege akiwa na wifi zake Isabella Ibrahim na Rehema Shomari |
Rehema Shomari na Isabela wakisubiri kwa hamu kumuona bibi harusi mtarajiwa Junice |
Hawa ni walewale jamaa zangu. |
Rose Sanga Mama Catherine na Bro Steven Mwakasege |
Hapa Junice anaingia katika ukumbi kwa mbwembwe nyingi Junice ni wa kabila la wakamba toka Mombasa Kenya kama kawaida katika mambo ya sherehe wanajituma sana kwa uchangamfu. |
Junice na mpambe wake wakiwa na MC Haris Kapiga mmoja kati ya ma-MC waliotulia sana na wanaoijua kazi yao vema. |
Junice akimtambulisha baba yake mzazi aliyewasili siku hiyohiyo toka Mombasa Kenya. |
watu walifungua shampeni |
ndugu na jamaa waliohudhuria pamoja na mshenga wa Kerry |
hapa ni kugonganisha glass tu |
hapa ni kugonganisha glass tu |
hapa ni kugonganisha glass tu |
hapa ni kugonganisha glass tu |
hapa ni kugonganisha glass tu |
hapa ni kukata keki kwa kwenda mbele |
Vijana wa Glorius Celebration walikuwepo live |
watu wakijirusha kwa muziki wa bendi ya Glorius |
Baadae ukaja muda wa kumtambulisha Kery Swai ambapo Junice alikwenda kumchukua na kumleta kery ambaye yupo katikati ya picha hii ni mtoto wa dada yangu mzaliwa wa kwanza kwa mama yangu. |