Jumamosi, 1 Juni 2013

PICHA ZA HARUSI YA KERY NA JUNICE

mama mdogo wa bwana harusi Rose Sanga akiongea na wapambe wa maharusi 



























send of party ya Junice Swai Picolo Beach

Kaka Steven dada Rose na mama Philip Mwakasege wakiwa katika ukumbi wa Picolo Beach katika sherehe ya Send of Party

Flora Mwakasege akiwa  na wifi zake Isabella Ibrahim na Rehema Shomari

Rehema Shomari na Isabela wakisubiri kwa hamu kumuona bibi harusi mtarajiwa Junice

Hawa ni walewale jamaa zangu.

Rose Sanga Mama Catherine na Bro Steven Mwakasege

Hapa Junice anaingia katika ukumbi kwa mbwembwe nyingi Junice ni wa kabila la wakamba toka Mombasa Kenya kama kawaida katika mambo ya sherehe wanajituma sana kwa uchangamfu.

Junice na mpambe wake wakiwa na MC Haris Kapiga mmoja kati ya ma-MC waliotulia sana na wanaoijua kazi yao vema.

Junice akimtambulisha baba yake mzazi aliyewasili siku hiyohiyo toka Mombasa Kenya.

watu walifungua shampeni

ndugu na jamaa waliohudhuria pamoja na mshenga wa Kerry


hapa ni kugonganisha glass tu

hapa ni kugonganisha glass tu

hapa ni kugonganisha glass tu

hapa ni kugonganisha glass tu

hapa ni kugonganisha glass tu


hapa ni kukata keki kwa kwenda mbele


Vijana wa Glorius Celebration walikuwepo live


watu wakijirusha kwa muziki wa bendi ya Glorius

Baadae ukaja muda wa kumtambulisha Kery Swai ambapo Junice alikwenda kumchukua na kumleta kery ambaye yupo katikati ya picha hii ni mtoto wa dada yangu mzaliwa wa kwanza kwa mama yangu.