![]() |
| Mpiga picha akiwa makini sana katika kupata picha nzuri.nafikiri hapo anawahimiza watabasamu kidogo ili picha itoke vizuri zaidi. |
![]() |
| Gari aina ya Fiat (mbaula) ikiwa imebeba mabua |
![]() |
| Picha hii inajieleza yenyewe umuhimu wa kuwa na mke mwema |
![]() |
| hapa ni gari dogo aina ya PicUp ikiwa imebeba mzigo usio wa kawaida |
![]() |
| Hapa ni mahali fulani gari likiwa limebeba mzigo na abiria |
![]() |
| Askari akiwa anamsubiri mwenye gari hili amuhoji kuhusu namna alivyobeba mzigo. |
| Hapa ni kazi tu mapenzi hayana nafasi katika kazi |
![]() |
| Haya yalikuwa ni maandamano ya wanaume kupinga kuchomolewa fedha kienyeji na wake zao |
| Wanasiasa vigogo wakipata tiba ya kikombe cha babu mwasapile |
![]() |
| Nimeipenda sana picha hii,inaonyesha kwamba vijana hawa kweli wanapendana. |
![]() |
| Picha iliyochakachuliwa(sio picha halisi) ya mzee mwasapile |











