Mpiga picha akiwa makini sana katika kupata picha nzuri.nafikiri hapo anawahimiza watabasamu kidogo ili picha itoke vizuri zaidi. |
Gari aina ya Fiat (mbaula) ikiwa imebeba mabua |
Picha hii inajieleza yenyewe umuhimu wa kuwa na mke mwema |
hapa ni gari dogo aina ya PicUp ikiwa imebeba mzigo usio wa kawaida |
Hapa ni mahali fulani gari likiwa limebeba mzigo na abiria |
Askari akiwa anamsubiri mwenye gari hili amuhoji kuhusu namna alivyobeba mzigo. |
Hapa ni kazi tu mapenzi hayana nafasi katika kazi |
Haya yalikuwa ni maandamano ya wanaume kupinga kuchomolewa fedha kienyeji na wake zao |
Wanasiasa vigogo wakipata tiba ya kikombe cha babu mwasapile |
Nimeipenda sana picha hii,inaonyesha kwamba vijana hawa kweli wanapendana. |
Picha iliyochakachuliwa(sio picha halisi) ya mzee mwasapile |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni