mwimbaji wa nyimbo za injili anayekuja kwa kasi kubwa sana Hellen Kijazi akiwajibika pamoja na vijana walioshiriki shindano la kusaka vipaji vya waimbaji wa nyimbo za injili Tanga. |
Vijana wa kanisa la KLPT Majani mapana Tanga wakiwa pamoja na vijana wa kanisa la Bethel lililopo Sahare walipowatembelea katika kudumisha umoja. |
Vijana wa kanisa la KLPT wakiimba na kucheza katika kanisa lao. |
Vijana wa Tanga walioshiriki shindano la kusaka vipaji lililoandaliwa na Umoja wa waimbaji wa nyimbo za injili wakishirikiana na kituo cha Tanga Televisheni |
Vijana kutoka kanisa la Vijana wa KLPT majani mapana wakiwa katika picha ya pamoja. |
Mwimbaji wa nyimbo za injili wa Tanga Helena Kijazi akiimba pamoja na Sheila Myanyi(mama Maombi) katika ukumbi wa vijana wa Noverty |
Sister Mecline Ludamila mwimbaji,mpiga kinanda na gitaa la bass kutoka kanisa la KLPT Tanga |
Zakaria akiimba kwa hisia kali katika mazoezi ya tamasha la sifa jijini Tanga. |
Elizabeth Yohana akiwa katika kikao cha waimbaji wa nyimbo za injili kilichofanyika jijini Tanga. |
Waimbaji wa nyimbo za injili wakifanya mazoezi ya wimbo mpya. |
Godfrey Mkanumkole Mwimbaji na mshindi wa shindano la waimbaji wenye kipaji lililoendeshwa na umoja wa waimbaji wa nyimbo za injili Tanga. |
Furahisha ni blog inayokusudia kutoa mafundisho mbalimbali pamoja na kupashana habari za kijamii na kiroho. Ni matumaini yangu kwamba blog hii itawainua kiroho wanachama wote watakaoitembelea na itachangiwa na watu wengi wenye mawazo na maono tofauti kwa lengo la kuipeleka mbele injili.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni