Marehemu Luck Dube wakati wa uhai wake |
Huyu ndiye binti wa Luck Dube aliyekuwa mshindi wa pili katika mashindano ya kuimba nchini afrika kusini |
Waombolezaji wakiusindikiza mwili wa marehemu Luck Dube. |
sehemu ya mashabiki wa Luck dube wakiomboleza. |
Gari la kifahari la Luck Dube ambalo lilikuwa ni shabaha ya wauaji wakehata hivyo hawakuondoka na gari hilo. |
Luck Dube akiwa na familia yake. |
Wauaji wa Luck Dube wakiwa mahakamani. |
Waombolezaji. |
Mwanamuziki maarufu Brenda Fassie (Mabree) ambaye kwa sasa naye ni marehemu alishiriki mazishi ya dube. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni