Jumapili, 2 Septemba 2012

MATUKIO KATIKA PICHA



Mwimbaji Elizabeth Yohana akiwaongoza waimbaji wa kusifu na kuabudu wa kanisa la KLPT majani Mapana Tanga.











Andrew na Mkewe katika siku ya harusi

Samuel na Rejoice siku chache baada ya kufunga ndoa.

Lucy na ndugu zake katika send off Part Dodoma

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni