| Mama Karl akiwa katika ukumbi wa YDCP kuwaaga wafanyakazi kabla ya kurudi nyumbani kwao Finland kwenye msiba wa baba yake. |
| Dr Karl akizungumza na wafanyakazi wa YDCP |
| Baadhi ya wafanyakazi wanawake wa YDCP wakimpa pole Mama Karl baada ya kupata taarifa ya msiba |
| Kama kawaida ni utamaduni wa kiafrika kutoa faraja kwa mtu aliyefiwa hapa mama Mwingira akimvisha kanga na kutoa kadi yenye maneno ya faraja kwa mama Karl |
| Wafanyakazi wa Ydcp Wakiwa katika picha ya pamoja na Dr Karl na mama |
BAADA YA KUMUAGA MAMA KARL HATIMAYE NAYE KARL NAYE ANAAGWA RASMI
| Flora akiwa na mfanyakazi mwenzake Dr Dawson muda mfupi kabla ya kuanza sherehe. |
| Wafanyakazi wa YDCP Hosea,Upendo na Dawson muda mfupi kabla ya shughuli. |
| Flora na Upendo |
| Flora Mwakasege |
Hapa ni ndani ya ukumbi Dr Karl akiwa na mshauri mpya wa Mradi wa YDCP tayari kwa shughuli ya kukabidhiana.
| Mheshimiwa Tonner alikuja akiwakilisha makao makuu Dar es Salaam |
| Add caption |
| Catherine Mmbando Mbunifu wa kadi za asili akipata msosi. |
| Penye mambo kuna jambo hapa wafanyakazi wa YDCP wakimzawadia mshauri wa mradi anayeondoka Dr Karl zawadi za kitamduni likiwepo vazi la kimasai,ngalawa n.k. |
| Staff wa YDCP wakighani shairi lenye kumsifu Dr Karl kwa utendaji wake uliotukuka. |
| hapa mkuu mpya wa mradi akiwa mbele ya wafanyakazi baada ya kushika hatamu. |
| picha ya pamoja kati ya wafanyakazi na washika dau wengine |
| Hapa
nilifurahi sana kukutana na huyu rafiki yangu aliyekuja kukodisha
ukumbi wa YDCP ambao ni mmoja ya kumbi namba moja kwa uzuri hapa Tanga. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni