| Mtoto mkubwa wa marehemu Mwalimu Christopher Mwakasege akiwasili kwenye eneo la msiba nyumbani kwa mdogo wake Steven maeneo ya Mbezi. |
| hapo ni mimi mwenyewe mjomba wangu Nyabu na wadogo zangu Isabella Philip na Cecilia Brown tukiwa katika eneo la msiba muda mfupi kabla ya kuupeleka mwili katika ibada kanisani. |
| mwili wa Baba Ernest ukiwasili katika kanisa la KKKT Mbezi kwa ajili ya sala kabla ya kuanza safari kuelekea Tukuyu kwa ajili ya maazishi. |
| Askofu Malasusa akitoka kwenye ibada baada ya kumaliza misa maalumu ya kuuombea mwili wa marehemu na kuaga kwa mara ya mwisho kwa ndugu waliokuwa Dar es salaam. |
| mwili wa baba Ernest ukiwa katika kanisa la KKKT mbezi kwa ajili ya kuuombea kabla ya kuanza ibada. |
| Isabella Mwakasege akikusanya maua ambayo yatakwenda kutumika siku ya mazishi Tukuyu |
| Mdogo wa Marehemu Brown na mama tukiwa pamoja katika safari ya kuusindikiza mwili wa marehemu. |
| Mke wa Marehemu akisindikizwa kwenye gari kwa ajili ya kuendelea na safari. |
| kaka wa marehemu Mzee Angetile |
| hapa ndipo ulipopumzishwa mwili wa baba yetu nje ya nyumba yake huku Tukuyu. |
| Mwalimu Christopher na mke wake wakiweka shada la maua juu ya kaburi. |
| Mjukuu wa Marehemu Sara naye akiweka shada la maua. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni