Utafiti Unaonesha kwamba 63% ya watu
duniani wanaamini uwepo wa Mungu, yafuatayo ni Mataifa 5 yanayoongoza kwa idadi
kubwa ya watu wasiyoamini uwepo wa Mungu (Atheism).
1. China.
Ikiwa na wapagani asilimia 30%, huku
asilimia 47% ya watu hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
2. Japan.
Ikiwa na asilimia 31% ya wapagani, huku
asalimia 31% ya wajapani hawaamini kabisa kama Mungu yupo.
3. Czech Republic.
Ikiwa na 48% ya wapagani, huku asilimia
30% ya wananchi wanasema kwamba Mungu hayupo.
4. France.
Asimilia 29% ya wafaransa hawaamini
kabisa kama Mungu yupo.
5. Korea Rep (South).
Ikiwa asamilia 15% watu wasioamini
kwamba Mungu yupo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni